sw

<< Prayerbooks

Kiswahili

ALFAJIRI ASUBUHI BAADHI YA SALA NYINGINE BARAZA LA KIROHO JIONI KUPONYA MCHANGO KWENYE AKIBA MFUNGO NDOA SALA FUPI YA FARADHI SALA KWA WALIOKUFA SALA KWA WATOTO NA VIJANA ALFAJIRI Ee Mungu na Bwana wangu! Mimi ni mutumishi Wako na Mwana wa mtumishi Wako. Nimeamka kutoka kitandani mwangu kwenye mapambazuko haya wakati Nyota ya Mchana ya umoja Wako imemulika kutoka Mapambazuko ya amri yako, na imetoa mng’ao wake juu ya ulimwengu wote, kulingana na yale yaliyoamriwa katika Vitabu vya Amri Yako.